Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba

Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba
kiungo : Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba

soma pia


Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba


Wananchi wa Wilayani ya Kwimba wamejitokeza kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa wakati zoezi hilo likiendelea. Mpaka sasa idadi kubwa ya wananchi wa Kwimba wameshasajiliwa huku mwitikio wa wananchi ukiongezeka na kuonyesha ni kiu ya wananchi katika kupata Vitambulisho cha Taifa.


Afisa Usajili Wilaya ya Kwimba Ndg Nelson Liyenge amewakumbusha wananchi kujitokeza kwa wingi ili wasajiliwe kwa wakati na kuwawezesha kupata Vitambulisho vya Taifa.

Umati mkubwa wa Wananchi wa wilaya ya Kwimba wakisubiri kuingia kwenye chumba ambacho Usajili wa Vitambulisho vya Taifa unafanyika.

Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Usajili juu ya mambo msingi wanayotakiwa kuzingatia pindi watakapoingia kwenye chumba cha Usajili wakati wa kuchukiliwa alama za kibaiolojia, picha na saini ya kielektroniki.

Wananchi mbalimbali Wilaya ya Kwimba wakiwa kwenye harakati za Usajili.

Mmoja wa wananchi wa Kwimba akiwa tayari kupigwa picha ikiwa ni sehemu ya hatua za usajili Vitambulisho vya Taifa.


Hivyo makala Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba

yaani makala yote Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/matukio-vitambulisho-vya-taifa-lulu-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Vitambulisho vya Taifa Lulu kwa Wananchi wa Kwimba"

Post a Comment