Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga

Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga
kiungo : Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga

soma pia


Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga



Afisa Mdhibiti wa Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga,Dkt Lwi Kupaza akiangalia taarifa za moja ya wakazi wa Jiji la Tanga ambao walijitokeza kupima uzito,sukari na presha wakati wa bonanza la michezo ambalo limefanyika leo kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu

Daktari wa NHIF kushoto akimpima presha Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati wa bonanza la michezo


Afisa Mdhibiti Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Dkt Lawi Kupaza akichukua maelezo ya Ofisa wa Polisi kutoka Ofisi ya RCO,Saidi Mwagara wakati wa bonanza hilo



Afisa Madai wa NHIF mkoani Tanga,Marry Daniel katikati aliyevaa tisheti ya njano akifuatilia taarifa wakati wa wananchi walipojitokeza kwenye banda lao kwenye bonanza la michezo ambalo lilifanyika viwanja wa shule ya Sekondari Popatlaly kupima afya

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi akiwa kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) kuangalia zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo 150 waliweza kupima afya ambapo kati yao
waliokuwa na uzito mkubwa 65,waliokutwa na sukari juu wanne,waliokuwa na Presse sita na wasiokuwa na matatizo 75


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba akiwaongoza askari wa Jeshi hilo kuwavuta kamba Bandari Tanga wakati wa Bonanza hilo leo

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba akiwaongoza askari wa Jeshi hilo kuwavuta kamba Bandari Tanga wakati wa Bonanza hilo leo

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba kulia akifurahia jambo wakati wa bonanza hilo

Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Tanga,Crispin ngonyani akiwaongoza idara hiyo kuvuta kamba kwenye bonanza hilo.

wa Pili kutoka kushoto ni Afisa wa NHIF Mkoa wa Tanga akiteta jambo na wanamichezo walioshiriki bonanza hilo leo.


Afisa Madai wa NHIF mkoani Tanga,Marry Daniel kulia kushoto ni Afisa Madai wa Mfuko huo pia Petro Aloyce wakigawa vipeperushi vinavyohamasisha huduma wanazozitoa kwa wanamichezo.
Afisa Madai wa NHIF mkoani Tanga,Marry Daniel kulia akiendelea kuwahamaisha wanamichezo namna ya kuweza kujiunga na mfuko huo

Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoani Tanga,Sadick Nombo kushoto akibalishana mawazo na Afisa Utumishi Mkoa wa Tanga,Jakobo Kingazi wakati wa bonanza hilo


Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi akisalimiana na moja kati ya timu zilizokuwa zinashiriki bonanza hilo ambapo alisema michezo ina imarisha mahusiano mazuri kazini na ni muhimu kuimarisha miili yao na kuongeza ufanisi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi katika akiwa kwenye picha ya pamoja .Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha


Hivyo makala Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga

yaani makala yote Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/matukio-nhif-yatoa-huduma-za-upimaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : NHIF Yatoa Huduma za Upimaji kwenye Bonanza la Michezo , Jijini Tanga"

Post a Comment