title : Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru
kiungo : Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru
Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru
Mwandishi wa Habari wa Habari maelezo Takdiri Ali akiuliza maswali katika mkutano na Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto Shadia Mohammed Suleiman akiwa pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu wa Tanzania Anthony Mavunde katika ukumbi wa Ofisi ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mwanakwerekwe Zanzibar.
Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto Shadia Mohammed Suleiman akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mwenge wa Uhuru unaoendelea kukimbizwa katika Mikoa na Wilaya za Zanzibar katika ukumbi wa Wizara hio Mwanakwerekwe Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu wa Tanzania, Anthony Mavunde kushoto akitolea ufafanuzi maswala mbalimbali yalioulizwa na waandishi katika mkutano kuhusiana na Mwenge wa Uhuru unaoendelea kukimbizwa katika Mikoa na Wilaya za Zanzibar katika ukumbi wa Wizara hio Mwanakwerekwe Zanzibar.
Picha na Abdalla Omar, Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru
yaani makala yote Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/manaibu-waziri-wa-t-bara-na-zanzibar.html
0 Response to "Manaibu Waziri wa T/ Bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari kuhusiana na mwenge wa Uhuru"
Post a Comment