Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba

Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba
kiungo : Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba

soma pia


Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba


Yanga iko mjini Shinyanga kuivaa Stand Unite na sasa uhakika haitamtumia Thabani Kamusoko na ameendelea kubaki jijini Dar es Salaam.

Kwa kuwa Kamusoko hakwenda Shinyanga, maana yake inaonekana Kocha George Lwandamina ameamua kumpa mapumziko ya kutosha ili afanye maandalizi kwa ajili ya mechi ijayo dhidi ya Simba.

Imeelezwa, Lwandamina anataka Kamusoko awe fiti Yanga itakapoivaa Simba Oktoba 28.

Awali ilielezwa,  Kamusoko angeenda mjini Shinyanga kuungana na kikosi cha Yanga baada ya kuachwa jijini Dar es Salaam pamoja na Donald Ngoma.

Lakini Kamusoko amebaki jijini Dar es Salaam akiendelea na matibabu ili kuhakikisha anakuwa fiti.


Hivyo makala Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba

yaani makala yote Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kuelekea-mechi-ya-yanga-vs-stand-united.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kuelekea mechi ya Yanga VS Stand united Kamusoko Apewa mapumziko ili kuweza kujiandaa kuikabili vizur Simba"

Post a Comment