Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto

Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto
kiungo : Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto

soma pia


Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto

Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto
Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha Super doll kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam mchana wa leo, na kuteketeza mali za kiwanda hicho.

Akiongea na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Kamanda wa polisi mkoa wa Temeke, Gilles Muroto, amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, na jeshi la zimamoto linafanya jitihada za kuzima moto huo.
"Ni kweli tuko hapa jeshi la zimamoto linaendelea kuzima moto likishirikiana na jeshi la polisi, na mpaka sasa bado hatujajua chanzo cha moto huu", amesema Kamanda Muroto.
Katika tukio hilo la kuzima moto huo kulijitokeza changamoto kubwa ya magari ya kuzima moto, ambapo kati ya magari 10 ya zimamoto moja ndilo lenye uwezo wa kuzima moto katika kiwanda hicho. 


Hivyo makala Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto

yaani makala yote Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kiwanda-cha-super-doll-chateketea-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kiwanda cha Super Doll Chateketea kwa Moto"

Post a Comment