KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA

KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA
kiungo : KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA

soma pia


KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA

Mwambawahabari

Pix 1 b
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga akisikiliza Maelezo kutoka kwa washiriki tofauti  wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  Ustawi wa Jamii nchini katika moja ya eneo la maonesho ya masuala yahusuyo Ustawi wa Jamii wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 2
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akipokea moja ya kitabu kinachoelezea masuala mbalimbali ya Ustawi wa Jamii kutoka kwa mshiriki wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  wa Ustawi wa Jamii nchini wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  wa Ustawi wa Jamii nchini  uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 3
Mwenyekiti wa TASWO Dkt. Zena Mabeyo akitoa salamu za wananchama wa TASWO kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(kulia waliokaa) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  wa Ustawi Jamii nchini  uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 4
Mkurugenzi wa Taasisi ya JSI Dkt.Tuli Tuhuma akitoa maelezo kuhusu kazi za Taasisi yake kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(kulia waliokaa) katika kuleta ufanisi wa kazi za Ustawi wa Jamii nchini wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  Ustawi wa Jamii nchini  uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
pix 5
Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt. Abu Mvungi akitoa mada kuhusu umuhimu wa Maafisa  Ustawi wa Jamii nchini wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  hao uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 6
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(kushoto) akijadiliana jambo na  Mwenyekiti wa TASWO Dkt. Zena Mabeyo(kulia) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Ustawi wa Jamii nchini  uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 7
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na Maafisa  Ustawi wa Jamii nchini  kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Maafisa hao  uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 8
Baadhi ya Maafisa Ustawi wa Jamii kutoka Serikalini na   Taasisi na Mashirika yasiyo ya kiserikali wakimsikiliza Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati akizungumza nao kabla ya kufungua  wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  hao uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
Pix 9
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa  Ustawi wa Jamii nchini mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Maafisa  hao uliofanyika UDOM Mjini Dodoma.
 Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW


Hivyo makala KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA

yaani makala yote KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-maendeleo-ya-jamii-jinsia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA"

Post a Comment