title : Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom
kiungo : Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom
Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC,Ian Ferrao(katikati) akikabidhiwa na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga,Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni hiyo kwa niaba ya Vodacom kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam,Anaeshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(kushoto)na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga,wakimshuhudia Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC,Ian Ferrao,akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford kwa niaba ya kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao,wakimsikiliza kwa makini Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga,alipokuwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya kukabidhi Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford kwa niaba ya Vodacom kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom
yaani makala yote Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-aggrey-clifford-yashinda.html
0 Response to "Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom"
Post a Comment