title : IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI
kiungo : IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI
IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia), akimsikiliza kamishna wa Polisi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi (CP) Alice Mapunda, alipokagua Kamisheni hiyo kwa lengo la kuona namna wanavyofanyakazi pamoja na changamoto wanazokutananazo wakati wanapotekeleza majukumu yao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia), akiangalia moja kati ya sampuli zinazofanyiwa Uchunguzi wa Kisayansi katika Maabara ya Polisi Makao Makuu, alipofanya ukaguzi kwenye kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi kwa lengo la kuona namna wanavyofanyakazi pamoja na changamoto wanazokutananazo wakati wanapotekeleza majukumu yao.
Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI
yaani makala yote IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/igp-sirro-akagua-maabara-ya-kisayansi.html
0 Response to "IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI"
Post a Comment