IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI

IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI
kiungo : IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI

soma pia


IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI


Nchini Tanzania Matumizi ya TEHAMA yame endelea kukua katika maeneo mbali mbali. Hii ime endelea kurahisisha upatikananaji wa huduma muhimu na kuwezesha watu kuendelea kuwasiliana kwa urahisi.

Viwanda na Taasisi mbali mbali zimeendelea kutumia TEHAMA ili kukuza ufanisi na kufikia watu wengi kwa kipindi kifupi. Miamala ya kifedha, ukusanyaji kodi, pamoja na mawasiliano ni baadhi tu ya mambo yanayo wezeshwa na TEHAMA nchini.

Usalama wa mifumo ya TEHAMA ni moja ya jambo muhimu sana ambapo Tanzania inapaswa kuwekeza ili kujilinda na aina zozote za kialifu mtandao ambazo zinaweza kupelekea huduma muhimu kutopatikana na hatimae uchumi wa Nchi kuyumba.
-------------------
STATISTICS: Tanzania installed 27,000 KMS of optic fiber connecting all regions and it has 7 mobile operators – About 94% network coverage, 85% SIM penetration and 40%internet users.
-------------------
Mkutano mkuu wa mwaka wa wataalam wa TEHAMA nchini Tanzania ulio fanyika mwishoni mwa wiki iliyopita (26 – 27, Octoba – 2017) jijini Dar-es salaam ulipata kujadili usalama mtandao ambapo mada kadhaa zilizo jikita katika kutoa elimu ya namna bora za kuimarisha usalama wa mifumo yetu zili wasilishwa na kujadiliwa.

Binafsi, Nilizungumza na washiriki kuhusiana na namna bora ya kulinda taarifa zinazo patikana kwenye simu zetu na komputa mpakato (Protecting Mobile devises Data) ambapo vifaa hivi vimekua vikitumika katika utendaji wa shughuli za kiofisi na kufanya miamala ambapo taarifa hizo zimekua muhimu kulindwa dhidi yawahalifu mtandao.



Hivyo makala IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI

yaani makala yote IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/idadi-kubwa-ya-program-tumishi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI"

Post a Comment