title : IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND
kiungo : IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND
IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND
Zulia lililonakshiwa na picha ya marehemu Joseph Ndyamukama aliyefariki Sept 25, 2017 na siku ya Jumapili Oktoba 15, 2017 kufanyika Ibada ya misa ya kumwombea marehemu katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blogna Kwanza Production.
Picha na kisanduku kilichowekwa majivu ya mpendwa wetu Joseph Ndyamukama kwenye ibada ya misa ya kumwombea marehemu iliyofanyika siku ya Jumapili Oktoba 15, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Padri Honest Munishi akiongoza ibada ya misa ya kumwombea marehemu Joseph Ndyamukama iliyofanyika siku ya Jumapili Oktoba 15, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Orgence Matungwa ndugu ya marehemu akiwa na mkewe wakiwasha mishumaa muda mfupi kabla ya kuanza kwa ibada ya misa ya kumwombea marehemu Joseph Ndyamukama iliyofanyika siku ya Jumapili Oktoba 15, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Padri Honest Munishi akiongoza ibada ya misa ya kumwombea marehemu Joseph Ndyamukama iliyofanyika siku ya Jumapili Oktoba 15, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Hivyo makala IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND
yaani makala yote IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ibada-ya-misa-ya-kumwombea-mpendwa-wetu.html
0 Response to "IBADA YA MISA YA KUMWOMBEA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA BALTIMORE, MARYLAND"
Post a Comment