Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma

Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma
kiungo : Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma

soma pia


Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma



Muwezeshaji wa mafunzo Deodatus Mfugale akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Centurion Nala Hotel Dodoma


Afisa program wa (UTPC) anayefanya kazi kitengo cha Mafunzo ,Utafiti na Machapisho Victor Maleko akizungumza na waandishi katika Mafunzo hayo mkoani Dodoma.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mafunzo hayo


Na.Vero Ignatus,Dodoma

Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari nchini (UTPC) inaeendesha mafunzo ya siku (5) yawaandishi habari za mazingira (27)mkoani Dodoma, kwa waandishi kutoka mikoa yote nchini ikiwa ni awamu wa kwanza


Afisa program wa (UTPC) anayefanya kazi kitengo cha Mafunzo ,Utafiti na Machapisho Victor Maleko amesema kuwa lengo kubwa la mafunzo hayo ni kuwapata waandishi waliobobea katika kuandika habari za mazingira katika maeneo yao.


"Unapowapata wabobezi hawa ni rahisi kwa wadau wa habari kutoka mikoani kufanya kazi na waandishi amabao wapo madhubuti kwenye maeneo yao,wapo waandishi wengi makanjanja hawajui wanachokifanya"alisema Victor.


Mafunzo mengine yanayoendeshwa sambamba na haya ni pamoja na mkoani Pwani yanaendelea mafunzo ya uandishi wa habari za Jinsia ,mkoani Morogoro yanaendelea mafunzo ya uandishi wa habari za Vijijini na mkoani Dodoma mafunzo ya uandishi wa habari za Mazingira

"tunataka tuwapate machampion watakao simamia habari za mazingira peke yayake,Jinsia pamoja na waandishi wa habari za vijijini tu"alisema

Amewaasa waandishi wa habari ambao hawajajiunga katika vilabu vya waandishi habari vilivyopo kila mkoa wajiunge kwani zinawasaidia kuwakutanisha pamoja watanufaika na mafunzo mbalimbali yanayotolewa na UTPC ,ambapo amesema mafunzo kama haya hayawezi kutolewa kwa mwandishi ambaye siyo mwanchama .

Kwa upande wake muwezeshaji wa mafunzo hayo Deodatus Mfugale amesema kuwa lazima mwandishi awe na malengo,waandike habari zinazoleta mabadiliko na zinazogusa hisia za jamii kwa ujumla.

''Mwandishi kama unaandika kila kitu muda wako unakaribia kwisha"alisema Mfugale.

Amesema kuwa UTPC itaendelea kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari wa habari chini ufadhili wa Ubalozi wa Sweeden hapa nchini kwa muda wa miaka (5) ambapo huu ni mwaka wa( 2) hadi 2020 wataendelea kubadilisha mafunzo hayo kadri ya uhitaji wa waandishi .


Hivyo makala Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma

yaani makala yote Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/habari-utpc-yawanoa-waandishi-wa-habari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Habari : UTPC Yawanoa Waandishi wa Habari Dodoma"

Post a Comment