Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha

Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha
kiungo : Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha

soma pia


Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha


Wahitimu wakiimba Wimbo wa Taifa



Wimbo wa Taifa

Wahitimu kwenye Jukwaa lao

Mkurugenzi wa Shule za Hady, Hady Sekondari na Shule ya Msingi Mhe. Capt. J Muniko akimkaribisha Mgeni Rasmi Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ,Ndugu Tito Cholobi katika Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017 katika viwanja vya Shule ,Nadosoito, Muriet Arusha.

Wanafunzi wa kidato cha pili na tatu wakiimba wimbo wa kuwaaga wahitimu

Wahitimu wakipata Matukio mbalimbali Mbashara kwenye Simu za Mkononi za Wazazi wao

Mwalimu wa Taaluma, Mwl. Steven Malugu katika Mahafali hayo

Mhitimu Irene Kissanga akiimba wimbo wa kuwaaga wadogo zao wanaobaki shuleni

Mwalimu Nuhu Azizi akifuatilia mahafali kwa ukaribu Sana

Walimu wa Hady Sekondari, Rose Urio na Ween Joseph wakiwa na nyuso za Furaha

Wapiga Picha hawakuwa nyuma kuchukua Matukio

Mwenekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Hady

Mwakilishi wa Mgeni Rasmi, Ndugu Tito Cholobi, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akitoa nasaha kwa wahitimu wa kidato cha Nne wa Hady Sekondari katika Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017 katika viwanja vya Shule ,Nadosoito, Muriet Arusha.













Miserebuko ya Nguvu







Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi, Mwakilishi wa Mgeni Rasmi, Ndugu Tito Cholobi, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akitoa nasaha kwa wahitimu wa kidato cha Nne wa Hady Sekondari katika Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017 katika viwanja vya Shule ,Nadosoito, Muriet Arusha.


Hivyo makala Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha

yaani makala yote Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/elimu-taswira-mbalimbali-ya-mahafali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Elimu :Taswira Mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Hady, Jijini Arusha"

Post a Comment