DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR

DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR
kiungo : DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR

soma pia


DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa pongezi kwa Umoja wa Mataifa (UN) kwa kuendelea kushirikiana na kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo pamoja na kusaidia changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii katika karne hii ya 21 hapa nchini. 
 Dk. Shein aliyasema hayo katika hafla ya kuadhimisha mika 72 tangu ulipoanzishwa rasmi Umoja wa Mataifa (UN), hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Mjini Zanzibar ambayo ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Umoja huo pamoja na wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Katika hotuba yake, Dk. Shein alisema kuwa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Mashirika yake ya Maendeleo hapa nchini umeweza kutoa ushirikiano wake mkubwa katika kupambana na umasikini, maradhi, majanga na kusaidia sekta mbali mbali za maendeleo. 
 Alisema kuwa Umoja wa Mataifa (UN) pamoja na taasisi zake umekuwa ukishirikiana vyema na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kutoa mchango wake mkubwa katika kufanikisha utekelezaji wa mipango mbali mbali ya maendeleo katika sekta zote za kiuchumi na kijamii. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake (katikati) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake (katikati) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez.
 Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na wageni mbali m,bali na waalikwa wakiwa  katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati akitoa hutuba yake katika sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika  katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez (kulia) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar. Picha na IKULU.


Hivyo makala DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR

yaani makala yote DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkt-shein-aongoza-sherehe-za-miaka-72.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR"

Post a Comment