DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE

DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE
kiungo : DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE

soma pia


DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE


DSC_6604
Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakipitia hati zao za viapo kabla ya kuapishwa Rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kushika wadhifa walioteuliwa hafla ya kiapo ilifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
DSC_6695
Baadhi ya Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioapishwa leo na Viongozi wengine kazi iliyofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
DSC_6700
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  leo,(kutoka kulia)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Kadhi Mkuu wa Zanzibar  Sheikh Khamis Haji na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Maalim,
DSC_6716
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Khamis Ramadhan Abdala kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar  katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
DSC_6745
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Aziza Iddi Suwedi kuwa  Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar  katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
DSC_6766
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Kubingwa Mashaka Simba  kuwa  Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika  hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
DSC_6798
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha  Bw.George Joseph Kazi kuwa  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika  hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar,
DSC_7124
Rais wa Zanztibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kuwaapisha rasmi leo katika hafla iliyofanyika  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Picha na Ikulu.


Hivyo makala DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE

yaani makala yote DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkshein-awaapisha-majaji-wa-mahkama-kuu_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR,NA VIONGOZI WENGINE"

Post a Comment