DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO

DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO
kiungo : DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO

soma pia


DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Akizungumzia katika kikao Cha kazi na wataalamu wa Kilimo, Ufugaji na Mipango miji.
Wataalamu wa Kilimo, Mifugo na Mipango Miji katika Halmashauri ya Itigi na Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa kikao Cha kazicha namna ya kuboresha kilimo, Ufugaji na Mipango Miji.
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Akizungumzia katika kikao Cha kazi na wataalamu wa Kilimo, Ufugaji na Mipango miji.

Na Mathias Canal, Singida
Wataalamu wa Kilimo wametakiwa kuwaunganisha wakulima na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa ajili ya kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo.

Akizungumzia katika kikao Cha kazi na wataalamu wa Kilimo, Ufugaji na Mipango miji Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu alisema kuwa pamoja na wananchi kujituma katika uzalishaji wa mazao ya chakula na kilimo lakini changamoto Ni kubwa ya namna ya kuongeza ufanisi katika masoko.

Alisema kuwa endapo wakulima wataunganishwa na Benki ya Kilimo itakuwa Ni njia pekee ya kuchagiza na kusaidia kuwezesha Sekta ya Kilimo kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo cha kibiashara ili kukuza uchumi na kupunguza umasikini.


Hivyo makala DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO

yaani makala yote DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dc-mtaturu-aagiza-wataalamu-wa-kilimo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MTATURU AAGIZA WATAALAMU WA KILIMO KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA MFUMO WA BENKI YA KILIMO"

Post a Comment