DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO

DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO
kiungo : DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO

soma pia


DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO

Na Omary Mngindo, Kibaha

MKUU wa Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani Bi. Assumpter Mshama amemaliza mgongano wa Wafanyabiashara wenye ubao upande wa ndani na wanaouzia kandokando ya Barabara.

Mgongano huo uliokuwepo kwenye soko la Mnalani Maarufu Loliondo kati ya Wafanyabiashara hao ambapo wanaouza ndani kwenye mbao wanadai wateja wanaishia nje hivyo hawapati wateja.

Wafanyabiashara Godruck Mwafrika na Anelista Mbaga kila mmoja amwelezea changamoto iloyopo kwenye soko hilo hali inayoleta mgongano kati yao.Mwafrika alisema kuwa waliowengi wamekimbia meza za ndani na kwenda kupanga nje kwa lengo la kupata wateja kwani wengi wanaishia nje hivyo wao kubaki wakipunga upepo tu.

Kauli hiyo ilipingwa na Bi. Aneliata ambaye alisema wote wanafanyabiashara sawa na kwamba malalamiko hayo hayana msingi huku akisema kwamba wateja wanafika kununua bidhaa sawasawa.

Baada ya kupata malalamiko ya pande mbili, Mshama ameagiza wanaofanyia biashara pembeni mwa soko wote waingie ndani na kwamba meza zote zina upana wa mita 30 hivyo kila moja watakaa watu wawili kwa maana mita 15.

Aidha amevunja aoko la siku za Jumatano akisema hatua hiyo ni ya ujanja wa watu ambapo alisema zuio hilo litaanzia Jumatano ya wiki inayoanzia Oktoba 25 akieleza kwa kiwa agizo hilo limekujanghafla kwani wapomm watu ambao wapo maeneo mbalimbali kutafuta biashara.
 MKUU wa Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani Bi. Assumpter Mshama akizungumza na Wafanyabashara wa soko la Loliondo.
 Baadhi ya Wafanyabiashara wa soko la Loliondo wakifurahia mara baada ya mgogoro wao kutatuliwa na MKUU wa Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani Bi. Assumpter Mshama.



Hivyo makala DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO

yaani makala yote DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dc-mshama-amaliza-mgogoro-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MSHAMA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA LOLIONDO"

Post a Comment