BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA.

BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA.
kiungo : BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA.

soma pia


BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA.



Mshambuliaji wa Arsenal, Alex Iwobi amefanikiwa kufunga bao la pekee lililoiwezesha timu yake ya taifa ya Nigeria kushinda bao 1-0 dhidi ya Zambia.

Ushindi huo umeifanya Nigeria kufuzu kucheza Kombe la Dunia mwakani nchini Russia.

Nigeria imefikisha point 13 ambazo Zambia pekee wangeweza kulingana na Nigeria kwa point kama wangeshinda leo na kusubiri kuangalia mechi ya mwisho.


Lakini ushindi wa bao hilo la Iwobi dakika ya 73 ambaye alianzia bench, umeihakikishia Nigeria ikitokea Kundi B kucheza Kombe la Dunia mwakani.


Hivyo makala BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA.

yaani makala yote BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/bao-la-iwobi-laizamisha-zambia-nigeria.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BAO LA IWOBI LAIZAMISHA ZAMBIA, NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA."

Post a Comment