BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI

BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI
kiungo : BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI

soma pia


BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI

Image result for PICHA ZA ZITO KABWE
Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo amefunguka na kusema kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ya awamu ya tano imekopa dollar milioni 500 kutoka benki ya Uswiss na pesa hizo ndiyo zimetumika kulipa ndege za Tanzania. 
 t
Zitto Kabwe amesema hayo leo kupitia mitandao yake ya jamii na kusema kuwa riba ya mkopo huo ni mkubwa sana na kudai watu wa chini wakiwepo wavuvi wa Migebuka kutoka Kigoma watahusika kulipa deni hilo kupitia kodi zao. 
"Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya Credit Suisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya fedha hizo zimetumika kulipia ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni hilo kupitia kodi zao" alisema Zitto Kabwe 

Rais Magufuli leo amesema kuwa uchumi wa nchi unazidi kukuwa na kudai serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina pesa za kutosha ndiyo maana imeweza kununua ndege mpya zaidi ya sita kwa mara moja na kudai watu ambao wanasema uchumi umeshuka wanaichonganisha serikali na wananchi. 


Hivyo makala BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI

yaani makala yote BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/baada-ya-act-wazalendo-kukimbiwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAADA YA ACT WAZALENDO KUKIMBIWA NA MAKANDA WAKE ZITO KABWE ,AIANDAMA SERIKALI"

Post a Comment