ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI
kiungo : ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

soma pia


ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI


Babati. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amepongeza kitendo cha Rais John Magufuli kuitenganisha Wizara ya Nishati na Madini kwa kuwa kwa zaidi ya miaka saba kambi hiyo ilikuwa inaishauri Serikali kufanya hivyo.



Mbowe amesema hayo leo Jumamosi kwenye mazishi ya marehemu Philip Gekul, baba mzazi wa Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul yaliyofanyika kata ya Dareda.

Amesema kwa mujibu wa kumbukumbu za Bunge zinaonyesha kuwa kambi rasmi ya upinzani ilikuwa inashauri wizara hiyo itenganishwe lakini ushauri wao haukufanyiwa kazi.

"Wizara ya Nishati na Madini ni wizara nyeti mno na mara nyingi tumekuwa tukiishauri Serikali iitenganishe wizara hiyo kwani ni kubwa na nyeti ila sasa wameona ushauri wetu unafaa na kuzitenganisha," amesema Mbowe.

Amesema suala siyo nani anafaa kuwa waziri na nani hafai kuwa waziri au ukubwa wa wizara ila suala ni kuona namna gani ya kuendesha Serikali ya Awamu ya Tano.


"Magufuli ajitafakari namna anavyoendesha Serikali kwani matakwa ya viongozi ndiyo yanakuwa maelekezo ya kuendesha nchi na hata mawaziri wanafanya kazi kwa matakwa ya mtu," amesema Mbowe


Hivyo makala ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

yaani makala yote ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/alichokisema-mbowe-baada-ya-jpm-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA JPM KUFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI"

Post a Comment