WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA

WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA
kiungo : WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA

soma pia


WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA

Wizara inawaasa wazazi, walezi na jamii kuimarisha mifumo ya ulinzi wa watoto katika ngazi ya mitaa, vijiji na jamii ili kuwa na mifumo madhubuti katika kudhibiti ukatili unaofanywa dhidi ya watoto na kusababisha majonzi makubwa kwa wazazi, familia na jamii kwa ujumla.
Jamii inakumbushwa kuwa tatizo la utekaji wa watoto linahitaji juhudi za pamoja katika kupambana nalo ili kuzifanya jamii zetu kuwa mahala salama kwa watoto wetu kuishi. Wizara itaendelea kuimarisha Kamati za ulinzi na usalama wa Mtoto katika ngazi za kata, vijiji na mitaa ili kuboresha huduma za ulinzi wa watoto wetu. Aidha, Wizara inalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada zilizofanyika za kutaka kuwaokoa watoto hao wakiwa hai, ingawa juhudi hizo hazikufanikiwa. 
Wizara inaomba wazazi, walezi, familia, walimu na marafiki kuwa na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
07/09/2017.


Hivyo makala WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA

yaani makala yote WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wizara-ya-afya-yalaani-mauaji-ya-watoto_7.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA AFYA YALAANI MAUAJI YA WATOTO WAWILI WALIOTEKWA MKOANI ARUSHA"

Post a Comment