Whatsapp Yafutwa China - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Whatsapp Yafutwa China, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Whatsapp Yafutwa Chinakiungo :
Whatsapp Yafutwa China
Whatsapp Yafutwa China
Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya serikali ya China juu ya mtandao wa ujumbe mfupi wenye kubeba mafaili ya Sauti, Picha na Video “WhatsApp” hatimaye imeuondoa rasmi nchini humo.
Imeripotiwa kuwa mtandao wa WhatsApp haupatikani nchini China kwa siku ya tatu sasa ambapo inadaiwa kuwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo 'Observatory of Network Interference' (OONI) imefuta matumizi ya mtandao huo.
WhatsApp ambayo inamilikiwa na kampuni ya Facebook yenye makao yake makuu nchini Marekani imekuwa kwenye mgogoro na China ikilalamikia Serikali na mamlaka za usalama nchini humo kuingilia mawasiliano ya wateja wao kwa madai ya kufanya uchunguzi wa usalama wa taifa.
Hata hivyo kwa wageni wanaoingia nchini China huduma hiyo bado inapatikana kupitia SIM Card za mataifa yao hivyo inaonekana huduma hiyo imesitishwa kwa raia wa China pekee.
Mkurugenzi mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg bado hajatoa taarifa yoyote kuhusiana na hatua hiyo ambayo imechukuliwa na serikali ya China ambayo awali ilipinga matumizi ya mtandao wa Facebook nchini humo.
Hivyo makala Whatsapp Yafutwa China
yaani makala yote Whatsapp Yafutwa China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Whatsapp Yafutwa China mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/whatsapp-yafutwa-china.html
Related Posts :
WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto akitiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie X… Read More...
Afya : Waziri wa Afya Akiri Changamoto ya Uhaba wa Madaktari
Na Humphrey Shao, Dar
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna changamoto ya uhaba wa… Read More...
MICHANGO SHULE ZA SERIKALI KUONDOKA NA MLOLONGO WA VIONGOZI*Rais Dkt.Magufuli apiga marufuku, asema asisikie mchango wa aina yoyote shuleni
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
Hivyo ndivyo unavyoweza k… Read More...
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi kulia akipata maelezo kutoka kwa Afisa uhusiano wa Taasisi ya Viwango Zanziba… Read More...
WATOTO YATIMA 150 WAPATIWA MSADA WA VIFAA VYA SHULEMkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe (mwenye nguo ya njano), Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo Gairo, Mhe. Andrea Sendeha (wa tatu … Read More...
0 Response to "Whatsapp Yafutwa China"
Post a Comment