title : WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU
kiungo : WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU
WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU
Katika mechi hiyo, mgeni rasmi alikuwa ni Balozi wa Vijana Usalama Barabarani, James Mwakibinga ambapo akizungumza kabla ya mchezo huo, aliwasifia wachezaji wa Bongo Fleva na wa Kampuni ya Mawasiliano Airtel kwa kuungana pamoja na kucheza mchezo wao wa kirafiki.
“Nawapongeza wote mliofika na kushiriki mchezo huu, ni jambo la busara kwenu kuwa wamoja na kudumisha amani ya nchi yetu.
“Katika kuhakikisha tunaunga juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, katika kuendeleza umoja baina ya mtu mmojammoja na hata makampuni kama ilivyotokea leo kwa Airtel na Bongo Fleva,” alisema Mwakibinga.
Balozi wa Vijana Usalama Barabarani, James Mwakibinga ambapo akikagua timu ya Bongo Fleva kabla ya mpambano wao na wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano Airtel katika mchezo wao wa kilafiki uliomalizika kwa sare ya 0-0 katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam

Balozi wa Vijana Usalama Barabarani, James Mwakibinga ambapo akikagua timu ya Kampuni ya Mawasiliano Airtel katika mchezo wao wa kilafiki uliomalizika kwa sare ya 0-0 katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam

Balozi wa Vijana Usalama Barabarani, James Mwakibinga akifuatilia mchezo huo katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam.
Hivyo makala WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU
yaani makala yote WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wasanii-wa-bongo-fleva-watifuana-na.html
0 Response to "WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA KUTOKA 0-0 NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU"
Post a Comment