title : WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA.
kiungo : WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA.
WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA.
Mshindi wa kwanza katika mashindano ya uandishi bora wa habari za sayansi na kilimo (Biotchnolojia) katika kuendeleza Kilimo, Gerald Kitabu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kumkabidhi cheki ya Dola 1500 kwa kuwa mshindi wa mashindano ya uandishi bora wa habari za Sayansi makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya Sayansi (Costech) jijini Dar es Salaam leo.
Katika tuzo hizo Mshindi wa Kwanza amezawadiwa cheki ya Dola 1500, wapili dola 1200 na watatu Dola 100o na wengine Dola 750, 375 na 250 pia baadhi ya Vyombo vya habari wamezawadiwa cheti cha Shukrani kwa kuchapisha kazi za Sayansi na Kilimo.
Ukiacha Gerald Kitabu wengine ni Kelvin Gwabara, Innocent Mugune, Coletha Makurwa, Shadrack Sagati, Elias Msuya, Fatma Abdul, Lucy Ngowi, Restuta Damian, Heren Kwavava, Daniel Sembelya na Zakaria Gabriel.
Baadhi ya washindi wa Tuzo za uandishi mahiri wa habari za Sayansi na Kilimo(Bioteknolojia) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako na Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla ya kuwazawadia washindi wa habari waliofanya vizuri zaidi kwenye kuandika na kuelimisha umma kuhusu matumizi ya Sayansi, Teknologia na ubunifu hususani Bioteknologia katika kuendeleza kilimo.
Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Kelvin Gwabara tuzo yake wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo. Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda
Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi hundi ya Dola 750 wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam leo.
Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako, Mkuu Mkuu wa Tume ya Sayansi na Technologia, (COSTECH)Hassan Mshinda na Mkurugenzi wa TBC wakiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa tuzo za umahili bora wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam leo.
Hivyo makala WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA.
yaani makala yote WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/waandishi-wa-habari-za-bioteknologia.html
0 Response to "WAANDISHI WA HABARI ZA BIOTEKNOLOGIA WAPEWA TUZO ZA UANDISHI BORA."
Post a Comment