UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani

UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani
kiungo : UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani

soma pia


UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani

Mkufunzi Nuria Mshare akitoa mada kuhusu ushawishi na utetezi kwa maafisa miradi wa asasi za vijana kuhusu namna ya kufanya shughuli ushawishi, utetezi na ufuatiliaji wa haki za vijana katika ngazi ya serikali za mitaa, kitaifa na kimataifa kwenye mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Saddam Khalfan (Afisa wa Program - UNA Tanzania) akielezea kuhusu sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 na mchakato wa kupitia upya sera hiyo na mchakato wa kukusanya maoni ya sera ya maendeleo ya vijana kwenye mkutano uliowakutanisha asasi mbalimbali za vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani chini ya ufadhili wa The Foundation for Civil Society ili kuwajengea uwezo katika ushawishi na utetezi na ufuatiliaji wa haki za Vijana.
Rais Wa Chama ca Walimu wenye Uziwi(CWUT), Theresia Nkwera(kulia) akipata ufafanuzi wa mafunzo kwa vitendo kutoka kwa Bi Eliza William wakati wa uwasilishwaji wa mada  kuhusu usashwishi na utetezi kwa maafisa miradi wa asasi za vijana kuhusu namna ya kichambua sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 na mchakato wa kupitia upya sera.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani

yaani makala yote UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/una-tanzania-yazijengea-uwezo-asasi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UNA Tanzania yazijengea uwezo asasi za vijana za Tanzania Bara na Visiwani"

Post a Comment