Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu

Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu
kiungo : Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu

soma pia


Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu


Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma usiku wa kuamkia leo kwenda Nairobi kwa ajili ya matibabu.

Lissu  alijeruhiwa jana akiwa kwenye gari nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulika.

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amesema, katika safari hiyo Lissu ameambatana na mkewe, madaktari wawili wasio na mipaka, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.

Selasini amesema kuwa Lissu anapelekwa katika Hospitali ya Aga Khan mjini Nairobi.

Ndege hiyo iliyombeba ya 5H-ETG imeondoka katika Uwanja wa Dodoma saa sita na robo usiku.


Hivyo makala Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu

yaani makala yote Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tundu-lissu-apelekwa-nairobi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu"

Post a Comment