TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA

TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA
kiungo : TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA

soma pia


TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA

TAMASHA la ngoma za kitamaduni lililopewa jina la Tulia Traditional Dance Festival, limeanza kwa mbwembwe mjini Tukuyu, mkoani Mbeya jana, likishirikisha vikundi zaidi ya 100 kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini ambapo litafikia tamati kesho.  

Akizungumza tamasha hilo akiwa Tukuyu jana, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye ndiye mwasisi wake, alisema kuwa anajisikia furaha kuona tukio hilo limepokewa vizuri mno na wakazi wa Tukuyu na mkoani Mbeya, lakini pia na Tanzania kwa ujumla.

“Maandalizi yanaendelea vizuri na mwitikio umekuwa mkubwa mno kuonyesha jinsi Watanzania wanavyothamini tamaduni zao. Matamasha kama haya ni muhimu mno kwani hutoa fursa ya kutangaza utamaduni wetu wa kitanzania na kuwa moja ya kivutio badala ya kutegemea vivutio vya kiutalii vilivyozoeleka kama Mlima Kilimanjaro, mbuga na hifadhi za wanyama na vinginevyo.

“Nawaomba wabunge waandae matamasha kama haya katika maeneo yao ili baadaye washindi watakaopatikana, waweze kushiriki katika tamasha letu hili ili kulifanya kuwa la kitaifa zaidi, hii itasaidia kuwaonyesha vijana wetu wa kizazi cha sasa kufahamu tamaduni zao, kuona mababu zao walikuwa wakifanya nini.

“Kwa serikali, iandae na kuunga mkono matamasha ya utamaduni kama sehemu ya kuenzi utamaduni wetu kwani vijana wengi wamekuwa wakibobea katika tamaduni za kigeni kutokana na kutofahamu tamaduni zao,” alisema.
 Kikundi cha ngoma ya asili ya Sindimba toka mkoa wa Mtwara,Wakicheza ngoma hiyo jana wakati wa mashindano ya ngoma za asili yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ya”Tulia Traditional dances festival 2017”yanayofanyika kwa siku tatu katika viwanja vya tandale mjini Tukuyu wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya.
 Wakazi wa Tukuyu wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya wakifatilia mashindano ya ngoma za asili yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ya”Tulia Traditional dances festival 2017” yanayofanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Tandale mjini humo.
 Majaji wa mashindano ya ngoma za asili yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ya”Tulia Traditional dances festival 2017” wakifatilia kwa karibu mashindano hayo yanayofanyika kwa siku tatu katika viwanja vya tandale mjini tukuyu wilaya Rungwe mkoani Mbeya.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakimfanyia mahojiano Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia kuhusiana na mashindano hayo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA

yaani makala yote TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tulia-traditional-dance-festival-lafana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TULIA TRADITIONAL DANCE FESTIVAL LAFANA"

Post a Comment