TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia

TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia
kiungo : TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia

soma pia


TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia


TANZIA: Bi Hindu Afariki Dunia
Mbunge mteuliwa wa chama cha wananchi (CUF), Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Taarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF, Abdul Kambaya imesema kuwa Bi Hindu amefariki jana jioni baada ya kuugua kwa siku kadhaa japo hajaeleza kiundani chanzo cha kifo chake lakini amesema taratibu nyingine zinazofuata zitaelezwa hapo baadaye.

Marehemu Bi Hindu alikuwa ni miongoni mwa wabunge wapya waliotangazwa na Tume ya Uchaguzi kuchukua nafasi ya wabunge nane ambao walivuliwa uanachama na kupoteza sifa ya kuwa wabunge na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba



Hivyo makala TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia

yaani makala yote TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tanzia-mbunge-mpya-wa-cuf-bi-hindu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: Mbunge Mpya wa Cuf Bi Hindu Amefariki Dunia"

Post a Comment