title : TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA
kiungo : TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA
TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa hivi sasa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anaweza kuongea na kula kidogo.
Akizungumza na waandishi jana Alhamisi jijini Nairobi, Mbowe amesema taarifa za kwamba Lissu amepata maambukizi katika kifua ambayo yanatishia maisha yake siyo za ukweli.
Mbowe amesema hali ya Lissu inabadilika kila siku hivyo amewahakikishia wananchi kuwa anaendelea kurejea katika hali yake.
Amesema Lissu ameweza kuonana na baadhi ya waliomtembelea kwa maelekezo ya madaktari ambao wanamtibu.
"Pamoja na kwamba kuna watu wengi wanataka kumuona lakini ni wachache wanaoruhusiwa kumuona kwa kuwa madaktari wanataka apumzike,"amesema Mbowe.
Hivyo makala TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA
yaani makala yote TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/taarifa-rasmi-ya-afya-ya-lissumbowe.html
0 Response to "TAARIFA RASMI YA AFYA YA LISSU,MBOWE AWATOA HOFU WATANZANIA"
Post a Comment