SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL

SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL
kiungo : SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL

soma pia


SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL

Kamishina Mkuu wa Skauti Tanzania Abulkarim Shah amesema kuwa watahakikisha wanapambana na suala la mimba za utotoni kwa wanafunzi wa shule za Almuntazir na taifa kwa ujumla ili wanafunzi waweze kupata elimu bora na kutimiza ndoto zao.

Kamishina Mkuu Shah ameyasema hayo leo katika mahafali ya shule ya Al-Muntaziir Boys Primary School jijini Dar es Salaam, ambapo ameeleza kuwa mimba hukatiza masomo ya wanafunzi wengi, hivyo hawana budi kupambana ili watoto wengi waweze kupata elimu bora na kutimiza malengo yao.

Katika hatua nyingine Shah amehimiza ushirikiano baina ya wazazi na uongozi wa shule ili kuchochea maendeleo ya wanafunzi na waweze kukuza taaluma zao, pia hii itasaidia kujua mienendo ya wanafunzi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Al-Muntazir ambaye ni msimamizi wa shule zote za Al-Muntazir Mahmood Ladak ameiomba serikali kuendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuchochea maendeleo ya elimu, huku akimpongeza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa kuendelea kushirikiana nao kwa hali na mali katika kuhakikisha elimu inakuwa bora kwa watanzania wote.

Ladak ameleza kuwa wanafunzi 300 wanataraji kuhitimu siku ya leo, huku akifafanua kuwa anaimani kubwa ya ufaulu kwa wanafunzi hao kwani shule za Almuntazir zinatoa elimu bora na gharama zakr ni  nafuu kulingana na masiaha ya mtanzania wa hali ya chini.

"Jumla ya wanafunzi wa shule za Almuntazir ni 2000 lakini wanaomaliza leo ni 300 kwa wavulana na wasichana, imani yetu ufaulu utakuwa mkubwa kutokana na elimu bora na nafuu tunazo zitoa, ambapo kwa muhula unaokuja haitazid milioni 3 kwa mwaka" Alisema Ladak

Lawena Mfinanga ni mmoja wa wanafunzi wanaohitimu siku ya leo ambaye amewahimiza wanafunzi wenzake wanaobaki kusoma kwa bidii kwani, bila kufanya hivyo hawawezi kutimiza ndoto zao.

Salum Kabethi ni Afisa Elimu wa Kata ya Kivukoni amepongeza maendeleo ya shule za Al-Muntazir huku akizitaka shule zingine kuiga mfano huo kwa maendeleo ya elimu na kuhimiza ushirikishwaji wa wazazi katika shuguli za maendeleo ya shule.

Licha ya zawadi zitakazo tolewa siku ya leo kwaajili ya wanafunzi waliofanya vyema, Suleiman Salehe ambaye ni mmoja wa wazazi amesema atatoa zawadi ya vitabu kwa shule hiyo ilikuchochea maendeleo maendeleo ya elimu shuleni hapo.

"Nitatoa vitabu kuchochea maendeleo ya elimu lakini pia mtoto wangu Sabri anasoma hapa alikuja kwa uhamisho akitokea nchini Marekani na ameweza kufanya vyema hivyo natoa pongezi za dhati kwa shule hii" Alisema




Hivyo makala SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL

yaani makala yote SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/siri-ya-ubora-wa-shule-za-almuntazir.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIRI YA UBORA WA SHULE ZA ALMUNTAZIR, YAELEZWA , WAHITIMU DARASA LA SABA WAFANYIWA MAHAFAL"

Post a Comment