SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX

SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX
kiungo : SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX

soma pia


SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

BAADA ya Malalamiko ya muda mrefu kwa timu ya Azam kutaka kutumia Uwanja wao wa Azam Complex  kwa mechi dhidi ya Yanga na Simba hatimaye Bodi ya Ligi ya Shiriukisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limetoa ratiba mpya leo.

Katika ratiba hiyo mpya, Bodi ya Ligi imeweka wazi mechi ya Septemba 9 baina ya Azam dhidi ya Simba itachezwa katika dimba la Uwanja wa Azam Complex Chamazi huku Desemba 29 wakiwakaribisha pia mabingwa watetezi wa ligi kuu Vodacom Yanga michezo hiyo yote ikipigwa saa 1 usiku .

Hatua hii inakuja sasa hivi baada ya mara kadhaa Azam kupeleka mapendekezo ya kutaka watumie uwanja wao kwa mechi zote ikiwemo Yanga na Simba ingawa walikuwa wanakataliwa kutokana na idadi kubwa ya mashabiki wa timu hizo mbili.

Ratiba hiyo iliyotolewa leo ikiwa ni ya marekebisho baada ya ile ya kwanza TFF kuikataa na kuuunda kikosi kazi kwa ajili ya upangaji wa ratiba npya itakayokuwa haina mabadiliko ya ubadilishwaji kila wakati sambamba na kwenda na kalenda ya michezo ya kimataifa ya FIFA.

Maoni ya baadhi ya wadau wa michezo wameonekana kufurahia ratiba hiyo ila wanajua katika kuutumia uwanja huo changamoto mbalimbali zinaweza kujitokeza ila kwa sasa hawawezi kuziona ila mpaka pale kitu kitakapofanyika.


Hivyo makala SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX

yaani makala yote SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/simbayanga-sasa-kwenda-kukipiga-uwanja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX"

Post a Comment