title : SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA
kiungo : SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA
SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA
Mjumbe wa baraza la Ulamaa BAKWATA taifa, ambaye pia ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Manyema jijini Dar es salaam, Sheikh Hamid Jongo akizungumza na wanafunzi, walimu na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Vuchama iliyopo Ugweno, Mwanga Mkoani Kilimanjaro, katika mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne.
Meneja wa shule ya sekondari ya Vuchama, Alhaj Yusuph Mfinanga, akizungumza na wanafunzi, walimu na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Vuchama iliyopo Ugweno, Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Vuchama, Mwalimu Juma A. Juma akizungumza na wanafunzi, walimu na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Vuchama iliyopo Ugweno, Mwanga Mkoani Kilimanjaro,katika mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne.
Na Mwamvua Mwinyi, Kilimanjaro
MJUMBE wa baraza la Ulamaa(BAKWATA)Taifa,ambae pia ni Imamu mkuu wa msikiti wa Manyema jijini Dar es salaam, Sheikh Hamid Jongo, amewataka wanafunzi wa shule za taasisi za kielimu za kidini kusoma kwa bidii na kuwa watiifu badala ya kuwa wajeuri na mafedhuri.
Ameeleza watoto wanapaswa kujipanga kitaaluma ya ahera na kidunia ili kukua katika misingi iliyo na maadili mema ya kidini na kitaifa. Aidha sheikh Jongo,ameziasa taasisi hizo waache kufundisha uhasi bali zijiongeze,kubuni mbinu mbadala zitakazowezesha kwenda pamoja na ushindani wa kitaaluma kwa lengo la kufaulisha hasa kidato cha nne na cha sita pasipo kushika mkia.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Hivyo makala SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA
yaani makala yote SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/sheikh-hamid-jongo-awataka-wanafunzi-na.html
0 Response to "SHEIKH HAMID JONGO AWATAKA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA VUCHAMA KUJIPANGA KATIKA USHINDANI WA KITAALUMA"
Post a Comment