title : SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA
kiungo : SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA
SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA
Katibu Mkuu wa CCM abdulrahman Kinana akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Chau Van Lam alipowasili kwa ajili ya mazungumzo na Sekretarieti ya CCM chini ya Kinana, jana katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya mji wa Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-zanzibar Jumanne Mabodi. Katikati ni katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Kiongozi huyo akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Jumanne Mabodi
Kiongozi huyo akiendelea kusalimia viongzi wa CCM
Mazungumzo yakianza
Mazungumzo yakiendelea
Mazungumzo yakiendelea
Hivyo makala SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA
yaani makala yote SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/sekretarieti-ya-ccm-chini-ya-kinana.html
0 Response to "SEKRETARIETI YA CCM CHINI YA KINANA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM MJINI DODOMA"
Post a Comment