title : RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA
kiungo : RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA
RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA
Mwambawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na viongozi wengine wa Mkoa wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA
yaani makala yote RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-mhe-dktmagufuli-awasili-jijini-dar.html
0 Response to "RAIS MHE. DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA"
Post a Comment