title : RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump
kiungo : RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump
Mwambawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Balozi John Kijazi.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi mara baada ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Katikati ni Makamu wa aliwa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 baada ya kuapishwa kuwa Jaji Mkuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa mara baada ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma wa tatu kutoka kulia Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Kutoka kulia ni Jaji Mkuu Mstaafu Othman Mohamed Chande, Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai na kutoka kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa wa Mahakamu kuu ta Tanzania na Mahakama ya Rufaa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Taasisi za Sreikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja namajaji wastaafu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja naviongozi wa mkoa wa Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Prifesa Ibrahim Khamis Juma na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Familia ya Jaji Mkuu a Prifesa Ibrahim Khamis Juma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma.
Baadhi ya Majaji waliohudhuria katika hafla hiyo
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa serikali na dini wakiwa katika hafla hiyo
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akijadiliana jambo na Jaji Mkuu Mstaafu Jaji Othman Chande na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. George Masaju
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Kamanda Thobias Andengenye
MKuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerari Venance Mabeyo akisalimiana na IGP Saimon Sirro wakati walipokutana Ikulu katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisalimiana na baadhi ya wakuu vyombo vya ulinzi na usalama.
Hivyo makala RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump
yaani makala yote RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-dk-john-pombe-magufuli-amuapisha.html
0 Response to "RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM jump"
Post a Comment