POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA

POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA
kiungo : POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA

soma pia


POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA

mwambawahabari'
KAMPUNI ya SportPesa imetoa vifaa vya michezo pamoja na fedha taslimu Sh. Milioni 20 kwa timu ya soka ya Polisi Tanzania.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo wakati wa mabakidhiano hayo kwenye ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani, Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa SportPesa, Tarimba Abbas amesema kwamba wanatambua mchango wa jeshi la Polisi kwa jamii, kwani linafanya kazi kubwa kuhakikisha nchi na wananchi wanakuwa salama.


Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa SportPesa, Tarimba Abbas akimkabidhi jezi IGP, Simon Sirro leo mjini Dar es Salaam
Akizungumza kwa niaba ya timu, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro  amesema kwamba wanashukuru kwa mchango wao kwa sababu ni moja ya kuleta maendeleo katika timu hiyo.
“Tunatanguliza shukrani za dhati kwa SportPesa kwa vifaa hivi pamoja na fedha hizi na tuna waahidi hatutawaangusha, kwani timu yetu ilikuwa na uhaba wa vifaa mbalimbali na fedha mlizotupatia zitaisaidia timu kutatua shida mbalimbali,” amesema Sirro.
SportPesa ni kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ambayo pia inazidhamini klabu tatu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba, Yanga na Singida United tangu ilipoanza rasmi uendeshaji wa shughuli zake za kibiashara nchini.



Hivyo makala POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA

yaani makala yote POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/polisi-yapokea-milioni-20-kutoka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI YAPOKEA MILIONI 20 KUTOKA SPORTPESA"

Post a Comment