title : PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha
kiungo : PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha
PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya Kikazi. PICHA NA IKULU
Hivyo makala PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha
yaani makala yote PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/picha-rais-magufuli-alivyo-agana-na-rc.html
0 Response to "PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha"
Post a Comment