Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto

Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto
kiungo : Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto

soma pia


Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto

Mwambawahabari 

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe iliyopo Kibingo, Kata ya Mwandiga mjini Kigoma imeungua moto jioni ya leo ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.

Hayo yamethibitishwa na Afisa habari wa chama cha ACT, Abdalla Khamis na kusema ni kweli tukio hilo limetokea lakini siyo katika nyumba ambayo anaishi Mbunge Zitto Kabwe.

"Ni kweli nyumba ya Zitto imeungua moto jioni ya leo lakini siyo nyumba ambayo anaishi yeye binafsi, bali ni nyumba ambayo imejengwa katika kiwanja kimoja na nyumba anayoishi kwa sasa", amesema Abdalla.


Hivyo makala Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto

yaani makala yote Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/nyumba-ya-zitto-kabwe-yawaka-moto.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nyumba ya Zitto Kabwe yawaka moto"

Post a Comment