Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana

Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana
kiungo : Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana

soma pia


Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ameeleza alichoambiwa na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana Alhamisi mchana wakati wakitoka bungeni huku wakicheka.

Nape amesema Lissu alimwambia, “Wewe Nape ni mjomba wangu, kwa nini unabaki CCM? Mimi na wewe tunafuatiliwa na jamaa zako wakitumia gari moja. Mimi na wewe ni watuhumiwa, hama CCM mjomba.”

Lissu alipigwa risasi jana Alhamisi mchana na kupelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma na baadaye usiku alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya Nairobi nchini Kenya.

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini jana wakati Lissu akipelekwa Kenya alisema ameambatana na mkewe, madaktari wawili wasio na mipaka; Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.

Ndege iliyomsafirisha iliondoka katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma saa sita na robo usiku.


Hivyo makala Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana

yaani makala yote Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/nape-nnauye-aeleza-alichoambiwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nape Nnauye aeleza alichoambiwa na Tundu Lissu wakitoka bungeni jana"

Post a Comment