Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea

Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea
kiungo : Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea

soma pia


Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amesema aliyemtishia bastola aliyekuwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, hakuwa askari.

Amesema kijana hiyo alikuwa ni mhalifu aliyetumia nafasi ya mkutano wa Nape na waandishi habari kutaka kutekeleza tukio hilo ambapo aliishia kumtishia bastola.

“Awali tulidhani yule kijana ni polisi lakini hakuwa na sare za polisi, cha kwanza nilimuelekea Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kufuatilia na akaleta majibu kuwa hakuwa polisi,” amesema Mwigulu akihojiwa na Kituo cha Televisheni cha Clouds leo.

Aidha, amesema suala la aliyekuwa msaidizi wa Mwenyekiti nwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Ben Sanane ni ngumu kulisemea kwamba amefariki au yuko kwani polisi bado wanaendelea na uchunguzi.

“Kwa aina ya taarifa ninazopata ni kama inaelekea kufikia ukomo ni jambo ambalo tumelipa uzito kulifanyia kazi na Mtanzania yeyote mwenye nia njema anaweza kutusaidia kufuatilia,” amesema.


Hivyo makala Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea

yaani makala yote Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mwigulu-aliyemtisha-nape-kwa-bastola.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea"

Post a Comment