title : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi
kiungo : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi
Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Jesse Kwayu (kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo(kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi
yaani makala yote Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/msisubiri-muda-wa-kuchukua-leseni.html
0 Response to "Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi"
Post a Comment