Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha

Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha
kiungo : Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha

soma pia


Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha

Watoto watatu waliokuwa wakichunga ng'ombe wamefariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu walilolichezea wakidhani ni mpira.

Tukio hilo lilitokea Ijumaa jioni katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli mkoa Arusha.

Mwenyekiti wa kijiji hicho, Julius Mhale amesema watoto hao wanatarajiwa kuzikwa kesho Jumatatu.

Amesema eneo lilikolipuka bomu hutumiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa mazoezi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha tukio hilo na kuahidi kutoa taarifa rasmi.


Hivyo makala Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha

yaani makala yote Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mlipuko-wa-bomu-waua-watoto-watatu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mlipuko wa bomu waua watoto watatu Jijini Arusha"

Post a Comment