Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu
kiungo : Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu

soma pia


Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta leo ameongoza waombolezaji  katika mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia kwa mlipuko wa bomu kwenye eneo la mazoezi ya kijeshi wilayani Monduli, mkoani Arusha. 
Marehemu hao - Johnson Daniel, Lendisi Saitabau na Samweli Nyangusi -walifariki dunia Ijumaa iliyopita katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale walipokuwa wakichunga ng'ombe. Inasemekana walilipukiwa na bomu walipokuwa wakilichezea wakidhani ni mpira.
Mazishi hayo yamefanyika katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha baada ya shughuli ya kuaga miili hiyo katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli. 

Wanafunzi wa shule ya msingi Nafcon wakiwa wamebeba majeneza yenye miili ya wanafunzi wenzao mara baada ya kuwasili nyumbani kutokea hospitali ya wilaya ya Monduli kabla ya mazishi  katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta akitoa rambirambi za serikali kwenye mazishi hayo  katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha baada ya shughuli ya kuaga miili hiyo katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli. 
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu kabla ya mazishi.


Ibada ya mazishi katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
 Sehemu ya waombolezaji kwenye mazishi hayo
Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya majeneza ya marehemu hao wakielekea makaburini kwa mazishi.





Hivyo makala Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu

yaani makala yote Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mkuu-wa-wilaya-ya-monduli-mhe-iddi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta aongoza mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu"

Post a Comment