title : MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA
kiungo : MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA
MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Dkt. James Wakibara (wa tatu kushoto, mstari wa mbele ) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Utalii na Huduma za Biashara wa Mamlaka hiyo, Imani Nkuwi (kushoto kweke) na viongozi pamoja wafanyakazi wa Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha. Lengo la ziara hiyo ilikua kuona na kukagua shughuli zinazofanywa na kikosi hicho kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wake.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Dkt. James Wakibara (katikati) akisikiliza hoja mbalimbali kutoka kwa watumishi wa KDU alipotembelea ofisi zao hivi karibuni. Wengine pichani ni Kaimu Mkurugenzi wa Utalii na Huduma za Biashara wa Mamlaka hiyo, Imani Nkuwi (kulia) na Mkuu wa Kikosi hicho Kanda ya Kaskazini, Ndugu Mkeni (kushoto).
Askari wa KDU Kanda ya Kaskazini wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TAWA, Dkt. James Wakibara wakati akitoa maelekezo mbalimbali ya kuboresha utendaji kazi wa kikosi hicho.
Hivyo makala MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA
yaani makala yote MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mkurugenzi-mkuu-wa-tawa-dkt-james.html
0 Response to "MKURUGENZI MKUU WA TAWA, DKT. JAMES WAKIBARA NA KAIMU MKURUGENZI WA UTALII NA HUDUMA ZA BIASHARA WATEMBELEA OFISI ZA KDU NA MALIHAI CLUB ARUSHA"
Post a Comment