MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO.

MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO.
kiungo : MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO.

soma pia


MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO.

mwambawahabari




Mama mjema akizungumza na wakazi wa kata ya kiwalani jijini dar es salaam.



Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa hiyo kuwachukulia hatua wakandarasi wa magari ya taka ambao wamekuwa hawatimizi wajibu wao wa kuzoa taka.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, kata ya Kiwalani DC Mjema alifikia hatua ya kutoa agizo hilo baada ya wakazi wa eneo hilo kulalamika kuwa wiki ya pili imepita mkandarasi anaye husika na uzoaji taka eneo hilo kutokufanya kazi hiyo na kupelekea taka kuzagaa maeneo mbalimbali ya eneo hilo jambo ambalo ni hatari kwa afya.


" Watu wa namna hii Mkurugenzi inabidi wachukuliwe hatuaq kwa kukamatwa na kupelekwa mahakamani kwa kufanya mambo yaliyo nje ya makubaliano" Alisema Mjema.

Katika hatua nyingine DC Mjema amewataka wananchi wa eneo hilo kwenda ofisi ya Mkurugenzi ili maeneo yao yapimwe kama yapo ndani ya hifadhi ya reli ili wajiandae mapema kabla ya bomoabomoa haijawafikia.

"Hili swala la bomoabomoa lipo nje ya uwezo wangu kwa wale wananchi ambao nyumba zao zipo kwenye hifadhi ya reli kati ya mita 30 na 50 waende ofisi ya Mkurugenzi kwa uhakiki" Alisema DC Mjema.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Palela amewataka watendaji wa mitaa kutowatoza wananchi tozo ya huduma wananchi pindi wanapokwenda katika ofisi zao, vinginevyo atawachukulia hatua, na kuwataka wananchi watoe taarifa kwa mtendaji wa kata, ikishindikana wakamuone yeye ofisini kwake.


Hivyo makala MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO.

yaani makala yote MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mjema-awataka-wakandarasi-wa-magari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MJEMA AWATAKA WAKANDARASI WA MAGARI TAKA KUCHUKULIWA HATUA KWA KUTOWAJIBIKA IPASAVYO."

Post a Comment