MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE

MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE
kiungo : MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE

soma pia


MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE



Lango kuu la kuingilia kwenye Sherehe.





Kushoto ni Meneja Ufanisi na Mahusiano BMGL Elias Kasitila (katikati) ni Meneja Mkuu Mahusiano Serikalini Asa Mwaipopo na Meneja Mkuu BGML Graham Crew wakizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua ya kuwaaga wafanyakazi na kupunguza baadhi ya shughuli ambazo zilikuwa zikifanyika mgodini Hapo.





Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati ya kikao na uongozi wa mgodi huo.





Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia shughuli ya sherehe ya kuagwa.





Wafanyakazi wa BGML pamoja na viongozi na Meneja Mkuu wa mgodi Graham Crew wakikata keki kwa pamoja kuashiria mshikamano na umoja.





Meneja Mkuu wa mgodi wa BMGL Graham Crew Akizungumza na wafanyakazi pamoja na kuwaaga wakati wa sherehe.





Wafanyakazi wakimsikiliza Meneja Mkuu wakati alipokuwa akiwaaga.





Msanii Mrisho Mpoto Akitumbuhiza pamoja na Bendi yake wakati wa sherehe za kuwaaga wafanyakazi wa Mgodi huo.












Baadhi ya wasanii wa kundi hilo wakiwa kwenye shughuli hiyo .




Msanii Ismail akiwaburudisha wafanyakazi kwa Wimbo wa Songa songa mbele usirudi Nyuma.



Hivyo makala MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE

yaani makala yote MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mgodi-wa-acacia-bulyanhulu-wa-waaga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE"

Post a Comment