Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda

Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda
kiungo : Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda

soma pia


Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda


Meya wa Ubungo kupitia chama cha Chadema, Boniface Jacob ameeleza kuwa kesho atafika katika ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma kuzungumzia shauri lake la vyeti dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Jacob amesema wiki iliyopita amepokea barua kutoka sekretarieti wakimtaarifu kwamba wiki hii ndiyo wanalifanyia kazi shauri lake.

“Wananitaka kwamba baadhi ya mambo niliyoyaongea wananitaka na mimi nipeleke vielelezo vya ufafanuzi lakini kimsingi ni mambo mapya, yaani kana kwamba mtuhumiwa wangu mambo ya vyeti amekiri, amekubali.”

Jacob amesema akitoka kwenye mahojiano hayo na Sekretarieti ya Maadili ataongea na vyombo vya habari juu ya shauri hilo kuhusu kugushi vyeti na malalamiko mengine manne.

Mbali na hilo amesema atazungumzia vishawishi na vitisho katika kulimaliza shauri hilo lisiendelee.

“Kutoridhika na mwenendo wa shauri hilo linavyofanywa kwa kuchelewa na usiri mkubwa sana.


Hivyo makala Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda

yaani makala yote Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/meya-jacob-afunguka-dhidi-ya-rc-makonda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Meya jacob afunguka dhidi ya RC Makonda"

Post a Comment