MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI

MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI
kiungo : MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI

soma pia


MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI

Mfanyabiashara Yusuph Manji, akitoka Mahakamani baada ya Hakimu Mkazi, Huruma Shahidi kuruhusu yeye na wenzake watatu wanaokabiliwa na tuhuma za uhujumu uchumi kupelekwa polisi kuhojiwa ili kukamilisha upelelezi.

Manji aliyeletwa mahakamani hapo kwa hati ya kuwatoa mahakamani (remove order) anaenda kuhojiwa kufuatia barua ya maombi mahakamani hapo kutoka kwa ZCO, pia mahakama imewaamuru kesho kabla ya muda wa kazi kuisha wawe wamerudishwa mahakamani hapo.

Mbali ya Manji washtakiwa wengine ni Deogratius Kisinda, Abdallah Sangey na Thobias Fwere.

Manji na wenzake hao wamekabidhiwa kwa Detective  Koplo Dotto ambaye ametakiwa mpaka kesho ndani ya saa za kazi wawe wamerudishwa mahakamani.

habari kamili itafuata baadaye kidogo.



Hivyo makala MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI

yaani makala yote MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/manji-na-wenzake-kuhojiwa-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MANJI NA WENZAKE KUHOJIWA POLISI"

Post a Comment