title : MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY
kiungo : MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY
MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY
Waomboleaji wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza ambalo lina mwili wa Kaka yake Mufti wa Tanzania,Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakijiandaa kuliingiza kaburini wakati wa mazishi yaliyofanyika jana (Septemba 21) kwenye makaburi ya familia eneo la Kwamndolwa wilayani Korogwe Mkoani Tanga.
Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir katika akizungumza wakati wa mazishi hayo yaliyofanyika katika eneo la Kwamndolwa wilayani Korogwe Mkoani Tanga.
Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir kulia akiteta jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu wakati wa maziko ya kaka yake Mufti yaliyofanyika kwenye eneo la Makaburi ya familia eneo la Kwamndolwa wilayani Korogwe kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu kushoto akiteta jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira,January Makamba wakati wa maziko hayo.
Hivyo makala MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY
yaani makala yote MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mamia-wamzika-kaka-yake-mufti-wa.html
0 Response to "MAMIA WAMZIKA KAKA YAKE MUFTI WA TANZANIA,SHEHE SAAD ZUBEIRY ALLY"
Post a Comment