title : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha
MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha sabuni cha KEDS wilayani Kibaha, Bw. Jack Feni (Kushoto kwake) kuhushu mitambo ya kiwanda hicho hicho wakati alipokitembela September 19, 2017. Kulia kwake ni. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mahandisi Evarest Ndikilo na kulia ni Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvestry Koka.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mifuko ya Sabuni ya unga aina ya Kleesoft wakati alipotembelea kiwand ia cha sabuni cha KEDS mjini Kibaha Septemba 19, 2017. Kulia kwakie ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Jack Fen
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizngumza baada ya kutembelea kiwanda cha Sabuni cha KEDS wilayani Kibaha September 19, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi, Evarest Ndikilo na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtenaji wa kiwanda hicho, Jack Fen. Kulia ni Mbunge wa Kibaha Mjini Silyvestry Koka.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/majaliwa-atembelea-kiwanda-cha-abuni.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI ski aha"
Post a Comment