KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA.

KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA.
kiungo : KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA.

soma pia


KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA.

Kiongozi wa CUF Mheshimiwa Ali Juma Suleiman ambaye alikuwa Kaimu Mwenyekiti wa (CUF) Jimbo la Mto Pepo na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa (CUF) Wilaya ya Magharibi A. Zanzibar amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Mnazi Mmoja.

Baadhi ya viongozi wa (CUF) na wanachama pamoja na wananchi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja kufuatilia mwili wa Marehemu Ali Juma Suleyman.

Naibu Katibu Mkuu (CUF) Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema kuwa Mheshimiwa Ali Juma alikuwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja kufuatia kuvamiwa nyumbani kwake na kupigwa kisha baadaye kutupwa katika maeneo ya Masingini na makundi ya watu yanayoendesha vurugu Zanzibar.

"Nasikitika kutangaza kifo cha Mheshimiwa Ali Juma Suleiman, Kaimu Mwenyekiti wa CUF Jimbo la Mto Pepo na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF Wilaya ya Magharibi A. Amefariki dunia majira ya saa 4 usiku hapa jana hapa Mnazi Mmoja Hospital baada ya kupigwa vibaya na Mazombi juzi usiku" alisema Naibu Katibu Mkuu CUF Nassor Mazrui

Viongozi wa CUF wamesema kuwa mwili wa marehemu umeshafanyiwa uchunguzi tayari na sasa wamekabidhiwa kwa ajili ya kufanya mazishi ambayo yatafanyika leo katika makaburi ya Mwanakwereke, nje kidogo ya mji wa Unguja


Hivyo makala KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA.

yaani makala yote KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kiongozi-wa-cuf-visiwani-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIONGOZI WA CUF VISIWANI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA."

Post a Comment